[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Super Bowl ni siku ambayo hata vegetarians wanakula chicken wings.Mzee wa junk food, utakua na nguvu kweli!
Yes was served with peanut sauceSatay chicken..?
Unataka umfundishe nani au umekosea ku type?Nimfundishe kupika mkuu.
Kwanini awe mzuri mzuri asiwe wa kawaida, au Upewe kibibiSuper Bowl ni siku ambayo hata vegetarians wanakula chicken wings.
It's an American thing, I doubt you would understand.
Kuhusu nguvu, nipe dada yako mzuri mzuri halafu nampa ruhusa aje kukuhadithia mambo yangu, usikie atakavyokwambia.
Vigezo vinazingatiwa.Kwanini awe mzuri mzuri asiwe wa kawaida, au Upewe kibibi
Keki nimejaribu kupikia kwenye jiko la mkaa.
Imeungua lakini imechambuka.
Na tamu sana aiseee wakati ujao haitoungua tena maana nishajifunza moto unatakiwaje.
@mishilView attachment 1347508View attachment 1347509
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]ulikuwa unachat sio bure
Jr[emoji769]
Aisee hongera sana nitakuja unifundisheLeo ndo nimepika dada.
Imeungua lakini imechambuka vizuri na tamu sana.
Nikipika tena haitoungua.
View attachment 1347516
Sent using Jamii Forums mobile app
Never mindUnataka umfundishe nani au umekosea ku type?
Hilo chuzi vipiii[emoji847][emoji847][emoji847] View attachment 1343367
Hapana sijawahi pika keki kwa mkaa ndo mara ya kwanza.
Kubalance moto imenishinda leo nilishazoea oven.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee wa kudaunilodi!![emoji6][emoji6][emoji6] View attachment 1342124
Ni wivu tuuu!
Yes was served with peanut sauce