Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

22403CB0-F80E-485D-B012-C9DEEE54E81A.jpeg
 
Super Bowl ni siku ambayo hata vegetarians wanakula chicken wings.

It's an American thing, I doubt you would understand.

Kuhusu nguvu, nipe dada yako mzuri mzuri halafu nampa ruhusa aje kukuhadithia mambo yangu, usikie atakavyokwambia.
Kwanini awe mzuri mzuri asiwe wa kawaida, au Upewe kibibi
 
Hapana sijawahi pika keki kwa mkaa ndo mara ya kwanza.
Kubalance moto imenishinda leo nilishazoea oven.

Sent using Jamii Forums mobile app

da167b38-6b70-4855-97dd-5ae801843674.jpg
kitu cha oven perfect...
Mkaa aiseeh sikumbuki mara ya mwisho lini nilitumia kupikia cake I think 20 years ago wakati niko home sijaolewa[emoji23]



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom