hiyo ndizi balaa
[emoji1787][emoji1787][emoji44][emoji44][emoji848][emoji44][emoji44][emoji119][emoji30][emoji53][emoji39][emoji39][emoji39]
Jr[emoji769]
SIERA nakusalimu
SIERA nakusalimu
Nifundishe basi kesho nipate cha kunywea chai
Asante sana my dear!kesho mzigo mezani[emoji23][emoji23][emoji23] chemsha viazi ponda vikiwa vyamoto weka chumvi ndimu ya kutosha pilpili , manjano kama unayo zungusha viduara ..
Chukua ngano unga weka maji uwe mzito size ya uji bandika mafuta ..
Tia vidonge vyako kwenye unga dumbukiza kwenye mafuta makali kama dk 5 tayari
Sent from my iPhone using JamiiForums