Haahahahahh reality mzeeWe jamaa salute aisee
unaweka vitu vya nguvu sana
Hamna ndio misosi yangu hiyo heavyAna mechi ya mchangani [emoji23]
Jr[emoji769]
Ndo maana hata mmeshindwa kuvunja bikraMwanaume wa Dar hapo tayari nashiba![emoji18][emoji18][emoji18] View attachment 1388528
😊😊nipo nayakula huku
Kwani ndizi mzuzu zenyewe huwa zinafanywaje