Uzi wa vyakula tu

Sana kwa 20,000 tu. Nikiwa pale mimi ni mishkaki na kuku tu mpaka jamaa waacha kutembeza upande wangu.
hahhahaha kumbe ile ya kutembeza inakuaga hata siku za kawaida mimi hua naendaga ile iftar special ile treat ni ya kipekee kabisa sjui wanapataje faida.
 
Hivi mtandaoni kuna vyakula vyake? I mean mtandao unaweza kuandaa chakula? Hivi UNA habari hata ukipiga nazi picha ukaiweka hapa tayari iko mtandaoni? Au JF sio mtandao?
Maisha fake fake,vyakula vya ku download mtandaoni ndo vimejaa humu!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…