Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

[emoji847][emoji847][emoji847]
587925880.jpg
 
Umenikumbusha mbali sana, miaka ya 1990 wakati nakwenda shamba kumtembelea bibi alikuwa ananiandalia ugali wa muhogo kwa kuku [emoji39][emoji39][emoji39]

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹ [emoji377]
Wewe wakishua basi, ugali wa muhigo kwa kuku sio mchezo mchezo
 
Wewe wakishua basi, ugali wa muhigo kwa kuku sio mchezo mchezo
Sasa hiyo si unafunga safari kwenda shamba ndipo ukampate huyo kuku, lakini mjini ni kitu full suit. Unaijua Full suit?


*Full suit = Ugali wa muhogo, mboga kisamvu na uji wa unga wa muhogo ( Maeneo mengine wanaita Babu Baba na Mjukuu) [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

"Fᵒˡˡᵒʷ ᵉˣᶜᵉˡˡᵉⁿᶜᵉ ˢᵘᶜᶜᵉˢˢ ʷⁱˡˡ ᶜʰᵃˢᵉ ᵖᵃⁿᵗˢ ᵈᵒʷN"
 
  • Thanks
Reactions: sab
Back
Top Bottom