MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Na huu mwezi mtukufu wengine ndo tunaanza kesho humu siingie tena kuepuka majaribu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimetafunia na kautumbo![emoji847][emoji847][emoji847] View attachment 1427256View attachment 1427257
dingimtoto kifungua kinywa huwa kinakuwa asubuhi tu.#Kifungua kinywa cha Asubuhi View attachment 1431920
Kuna siku utaota mbawa kwa unavyopenda kwio[emoji18][emoji18][emoji18] View attachment 1432372
Hivi kuna kifungua kinywa cha usiku?#Kifungua kinywa cha Asubuhi View attachment 1431920
Sawa! Kaka mkubwa
Usi complicate vitu kamandaHivi kuna kifungua kinywa cha usiku?
Wewe wakishua basi, ugali wa muhigo kwa kuku sio mchezo mchezoUmenikumbusha mbali sana, miaka ya 1990 wakati nakwenda shamba kumtembelea bibi alikuwa ananiandalia ugali wa muhogo kwa kuku [emoji39][emoji39][emoji39]
ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹ [emoji377]
Sasa hiyo si unafunga safari kwenda shamba ndipo ukampate huyo kuku, lakini mjini ni kitu full suit. Unaijua Full suit?Wewe wakishua basi, ugali wa muhigo kwa kuku sio mchezo mchezo
Hili pilau mbona kama maji yalikuwa mengi?? [emoji41][emoji41]Pilau la leo halijakolea sana viungo & halina kachumbari [emoji846][emoji846][emoji846]View attachment 1428015