Uzi wa vyakula tu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hii ilikuja bila maini firigisi wala kichwa(nilichukia sana)
Nahisi miguu itakuwa ulikula wewe
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ bora kikosekane kichwa, shingo na mgongo ila sio maini, firigisi na miguu.

Kuku wako kachinjwa Dar, me niko huku Songea nimekula vipi jamani πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…