Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hii ilikuja bila maini firigisi wala kichwa(nilichukia sana)
Nahisi miguu itakuwa ulikula wewe
😂😂😂 bora kikosekane kichwa, shingo na mgongo ila sio maini, firigisi na miguu.

Kuku wako kachinjwa Dar, me niko huku Songea nimekula vipi jamani 😀😀
 
#FurahidayMatoke
20200515_1041421.jpg
 
Back
Top Bottom