dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Namshukuru Mungu nimeamka salama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wala sio sababu.
Salama tu,umeamkaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo Mwalimu Nyerere, aliyakataza na kuyapiga vita
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya mambo Mwalimu Nyerere, aliyakataza na kuyapiga vita
[emoji120][emoji120][emoji120]Namshukuru Mungu nimeamka salama
Bado ujajipendelea asubuhi hii?
Ni kweli hiyo ni lugha ya kabila gani? Kwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu nikufundishe?
Inafurahisha kuongea kwa lugha zetu za kibantu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jifunze kwanza halafu nitakwambia ni ya kabila gani[emoji3]Ni kweli hiyo ni lugha ya kabila gani? Kwanza
Hmm[emoji32][emoji120][emoji120][emoji120]
Mara nyingi asubuhi huwa najisikia uvivu kula
Sent using Jamii Forums mobile app
Aah hapa ndipo tunapofeli watanzania nimekuuliza swali ujanijibu unauliza swali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hmm! 🙄
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aah hapa ndipo tunapofeli watanzania nimekuuliza swali ujanijibu unauliza swali
Unaijua methali ya mficha uchi hazai![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni moja ya lugha ya kabila moja hivi huku nyanda za juu kusini
Sent using Jamii Forums mobile app
Chai kwa kipind hiki ni lazima, tena kwa sisi bachelor unapig na kiporo chako burudanii kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli Tena,nawaza Mara mbilimbili kula
Ila kilivyokuwa na baridi ni lazima ninywe chai.
Ikifika mida ya saa6 huwa sijiulizi Mara 2 kula
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilishazaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaijua methali ya mficha uchi hazai!
Huku kwetu hats kama hupendi kunywa inakulazimu unywe tu maana kuna baridi kaliChai kwa kipind hiki ni lazima, tena kwa sisi bachelor unapig na kiporo chako burudanii kabisa
Oooho!Mimi nilishazaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni lugha ya kabila mkoani mbeya na Songwe
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaOooho!
Wazungu wanasema NO COMMENT
Ngoja niende, kutafuta ugali
Panandi nkamu, utwa mashiku twisashe,
UtakubhonekaPanandi nkamu, utwa mashiku twisashe,
Naona umepika kinyumbani kabisa nimetamani sana[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app