dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
[emoji39]maboga yametulia..Leo kiasili zaidi
Napenda sana maboga! Ktk mboga zangu tatu za majani haikosi[emoji39]maboga yametulia..Leo kiasili zaidi
Hongera...Mie nimekuja kuijulia ukubwanii[emoji1],Napenda sana maboga! Ktk mboga zangu tatu za majani haikosi
Nimeshindwa kabisa kula prawns sijui kwa nini!
Duuh! Basi ulikua unakosa vitu adimuHongera...Mie nimekuja kuijulia ukubwanii[emoji1],
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]ChukuchukuView attachment 1468528
Hapa umeongea mkuu..
Aww![emoji39]Wiki ya mlenda na ugali tuView attachment 1468653
Napenda Sana ugali ila wa dona nimeshindwa kula kabisa kabisa
Bamia zitaota tumboni wewe dada..Wiki ya mlenda na ugali tuView attachment 1468653
Nyie wenyewe wataalamu wa afya mnatuambia tule vyakula vya kuteleza kukomesha madonda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bamia zitaota tumboni wewe dada..