Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Huo wali upo kidogo mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh! Ila mtoto wa kike kula kidogo sunna ujue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo wali upo kidogo mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh! Ila mtoto wa kike kula kidogo sunna ujue
Angalizo[emoji2][emoji2] usije pata kitambi, na kwa mdada haipendeziHuo wali upo kidogo mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo mkimaliza ni mashuzi tu,bwii,kabooooom,pratatatatr fyuuuuuuu kitkatkitkat 😀Hii inaitwa mtoto atumwi dukani
#NdondolawikiendiView attachment 1464773
Hahaha! Duuh!Hapo mkimaliza ni mashuzi tu,bwii,kabooooom,pratatatatr fyuuuuuuu kitkatkitkat [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Angalizo[emoji2][emoji2] usije pata kitambi, na kwa mdada haipendezi
Hmm! Nitaaminije sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nina kitumbo kiduchu hadi najishangaa
Hivyo hivyo tu mkuu...Hmm! Nitaaminije sasa
Aah mi simo hapo Kandahar ni mabomu tu 🙃Hahaha! Duuh!
Hmm! Kila lakheriHivyo hivyo tu mkuu...
Ndiyo maana nataka niongeze ujazo wa chakula walau nijaze tumbo kidogo
Akhsante bossHmm! Kila lakheri
[emoji39][emoji39]naomba recipes ya chapati zako
Ahaaa asante..chapati zinasumbuaga kweliNakandia na samli ya aseel na chapati hazina recipe ya hivyo ni ukandaji wako tu nakandia maji ya baridi na chumvi na samli bs
Ahaaa asante..chapati zinasumbuaga kweli
Vp kuhusu unga wanasema sijui azam ppf ndo inatoa vizuri,,ni kweli?
Hiki chakula [emoji7][emoji7]
Hahaha! Unakula nyanaya chungu wewe? Na mlendaHiki chakula [emoji7][emoji7]
Hapa naweza kubali kula ugali kila siku