Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Mchana ndio huu muda wa kuufinya [emoji39][emoji39]
IMG_20200529_182446_1.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa natumia maziwa fresh
Maziwa ya mgando sinywi kabisa..hivi na fresh hayafai??

Akhsante kwa ushauri mpenzi [emoji120][emoji120]
Nitazingatia..
Ubarikiwe.

Actually ya mgando ndio mazuri (yana bakteria ambao wanasaidia kupunguza bacteria wanaosababisha ulcers , H.pylori) ila ya fresh sio mazuri. Acha kabisa for now.
 
Ni matamu kwa kweli yalikua[emoji39][emoji39]Nimekaanga kitungu kwa dkk 1 nikaweka tomato paste kiduchu tu pili pili manga kidogo na cooking cream pia na matokeo yakawa hivo...maana nilipika ile basi tu yaani [emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Cooking cream imependezesha zaidi
 
Watatu kasoro[emoji56][emoji56]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera...[emoji41][emoji41][emoji41]hongera zake jamaa anaekumiliki...hakika unastahili kuwekwa ndani, ungepata mume kama mimi ungeinjoy sana. Kila siku ingekuwa naingia jikoni mwenyewe someday tungekuwa tunashindana![emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Mashallah mashallah.. kumbe umpishi mzuri ee... hongera sana!! Mwenye nafasi yake atakuja mtaahindana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom