Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,193
- 27,078
Duuu umepikaje yanaonekana matamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuu umepikaje yanaonekana matamu
Ni matamu kwa kweli yalikua[emoji39][emoji39]Nimekaanga kitungu kwa dkk 1 nikaweka tomato paste kiduchu tu pili pili manga kidogo na cooking cream pia na matokeo yakawa hivo...maana nilipika ile basi tu yaani [emoji1787][emoji1787]Duuu umepikaje yanaonekana matamu
Hatari jamani, tutatoana roho bure[emoji18][emoji18][emoji18] View attachment 1460209
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hatari jamani, tutatoana roho bure
Huwa natumia maziwa fresh
Maziwa ya mgando sinywi kabisa..hivi na fresh hayafai??
Akhsante kwa ushauri mpenzi [emoji120][emoji120]
Nitazingatia..
Ubarikiwe.
Hicho k/moto kimechemshwa au vipi
KumbeActually ya mgando ndio mazuri (yana bakteria ambao wanasaidia kupunguza bacteria wanaosababisha ulcers , H.pylori) ila ya fresh sio mazuri. Acha kabisa for now.
Kwelea+ avocado+pilipili+ndim kwa mbaliView attachment 1463565
Ndege uyoKwelea ndio kitu gani
Cooking cream imependezesha zaidiNi matamu kwa kweli yalikua[emoji39][emoji39]Nimekaanga kitungu kwa dkk 1 nikaweka tomato paste kiduchu tu pili pili manga kidogo na cooking cream pia na matokeo yakawa hivo...maana nilipika ile basi tu yaani [emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
rukia16 Umeolewa?! [emoji39][emoji39]Mchana ndio huu muda wa kuufinya [emoji39][emoji39]View attachment 1463450
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeolewa ndio na watoto juu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]rukia16 Umeolewa?! [emoji39][emoji39]
Watoto wangapi?
Hongera...[emoji41][emoji41][emoji41]hongera zake jamaa anaekumiliki...hakika unastahili kuwekwa ndani, ungepata mume kama mimi ungeinjoy sana. Kila siku ingekuwa naingia jikoni mwenyewe someday tungekuwa tunashindana![emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Mashallah mashallah.. kumbe umpishi mzuri ee... hongera sana!! Mwenye nafasi yake atakuja mtaahindanaHongera...[emoji41][emoji41][emoji41]hongera zake jamaa anaekumiliki...hakika unastahili kuwekwa ndani, ungepata mume kama mimi ungeinjoy sana. Kila siku ingekuwa naingia jikoni mwenyewe someday tungekuwa tunashindana![emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Mbona umeukata ivo ugali?