Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

IMG_20200604_205303_2.jpg
 
Ss vidonda na maharage mpenzi wataka kujimaliza utumbo?!
Ni Leo tu nagusa njegere..
Siku zote nakula mlenda Sana..hata Leo ulikuwepo ila nimeshindwa kula na wali.

Chakula hicho hata nusu yake sikufika[emoji38]
 
Back
Top Bottom