dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
hahahah!! kila siku nina piga push up 120 na zoez la kutoshaKitambi hichooo
Jr[emoji769]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahah!! kila siku nina piga push up 120 na zoez la kutoshaKitambi hichooo
Jr[emoji769]
Nipe location[emoji7][emoji39][emoji39]
Unanitamanisha mwee[emoji39]Ahsante
Karibu View attachment 1469380
Nipe location[emoji7][emoji39][emoji39]
Aisee
Hili pilau! Bubu uswazi wanasema[emoji2][emoji2]Ahsante
Karibu View attachment 1469380
[emoji91]hiki chakula kimenipa njaa
Oh[emoji1751]Karibu jaribu mpakani (pwani) moja
Hahah vipi mpendwaOh[emoji1751]
Hizi nyama [emoji91][emoji91]
Friday biriani au pilau nimeopt pilau.
View attachment 1469379
Njegere umeweka kwenye pilau eee? Nami pia niliweka kidogo.View attachment 1469388
Baada ya kukosa hela nimeamua tu kula njegere
Pilau bubu si linakuwa halina nyama?Hili pilau! Bubu uswazi wanasema[emoji2][emoji2]
Karibu mamaUnanitamanisha mwee[emoji39]
Ooh! Nilikua sijaiona ila inaoneka kama wali
Leo nimependa nipike jeupe, siku nyingine napika kama hili.Ooh! Nilikua sijaiona ila inaoneka kama wali
Au ndio mapish mbalimbali
Akhsante sana [emoji847]Karibu mama
Viungo vikizidi Sana huwa vinakera.Ooh! Nilikua sijaiona ila inaoneka kama wali
Au ndio mapish mbalimbali