Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Hadi Sasa sijakimaliza na nimeambiwa nisilale bila kumaliza😥
Wananiambia nikifanya mchezo kula vidonda vya tumbo vitaniua
Nakumbuka kitu nilipigwa marufuku kula nikiwa kwenye diet ya Hivyo vidonda ni wali na jamii ya kunde kwa ujumla.
ilikuwa full 3mnths Ila nilipona na kusahau kabisa mpaka kesho
 
20200605_051645.jpeg
 
Back
Top Bottom