Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakumbuka kitu nilipigwa marufuku kula nikiwa kwenye diet ya Hivyo vidonda ni wali na jamii ya kunde kwa ujumla.Hadi Sasa sijakimaliza na nimeambiwa nisilale bila kumaliza😥
Wananiambia nikifanya mchezo kula vidonda vya tumbo vitaniua
Nitajitahidi niache kabisaNakumbuka kitu nilipigwa marufuku kula nikiwa kwenye diet ya Hivyo vidonda ni wali na jamii ya kunde kwa ujumla.
ilikuwa full 3mnths Ila nilipona na kusahau kabisa mpaka kesho
Yaan hiyo sosi alopakwa ni tamu balaaa nimelamba yotee;,%--% ,,z g ,, , ,x,,z, ,??
samaki kapakwa mpk kapauka😋,nakuja na ndizi dinzed🤗.
Yummy..Chakula chako kinavutia sana
ndo wapi hapo mpakani?
Ukiwa unaenda rufiji kuna sehemu panaitwa jaribu mpakanindo wapi hapo mpakani?
Hii picha nilitamani ifunguke ila kwangu haijafunguka.
Chips mishikaki na tomato nyingii nyanya pembeni na limaoHii picha nilitamani ifunguke ila kwangu haijafunguka.
Ni tapatalk.
Anyway chakula gani
Kuku wa kienyeji mkuu, huoni kifirigisi pale[emoji3][emoji3][emoji3]..Hiyo mboga ni nini?
AhsanteChips mishikaki na tomato nyingii nyanya pembeni na limao