Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Usiku nataka kupika mlenda pori.Huu ndio mlenda sasa
Jr[emoji769]
[emoji3][emoji3]nakutania mrembo..enjoy milenda yakoNyie wenyewe wataalamu wa afya mnatuambia tule vyakula vya kuteleza kukomesha madonda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa Mimi madonda ya tumbo yatanikoma..nakula bamia kila muda,hapo nakunywa Hadi Yale maji yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Karibu uonje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]nakutania mrembo..enjoy milenda yako
Nipe location basi kama ni Dar..maana nahisi ni Dodoma maana ndo wanakopenda milenda sanaKaribu uonje[emoji23][emoji23][emoji23]
Sio dodoma wala sio darNipe location basi kama ni Dar..maana nahisi ni Dodoma maana ndo wanakopenda milenda sana
Mwanza au Morogoro?Sio dodoma wala sio dar
Kweli haujui kukisia[emoji3]Mwanza au Morogoro?
Kweli haujui kukisia[emoji3]
Huwezi kukisia[emoji3]Moshi...kama sijapatia,nitajie kabisa ulipo
Huwezi kukisia[emoji3]
Mbeya hiyo
[emoji3][emoji3][emoji3]..Hiyo mboga ni nini?hii ndo menyu yangu pendwaView attachment 1468696
Kwa menyu hiyo ikiliwa usiku lazima uote ndoto mbaya😀hii ndo menyu yangu pendwaView attachment 1468696
Hahaha[emoji3][emoji3]aya bhana..Ndaga fijo!!
Mishkaki[emoji7]
Inavutia sana