dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Aise! Nialike siku moja nije kula maanaLeo nimependa nipike jeupe, siku nyingine napika kama hili.
Sipendi pilau lenye rangi iliyokoleza kuelekea weusi. View attachment 1469438
Kweli eeh! Basi mimi nilijua bwaso hiloViungo vikizidi Sana huwa vinakera.
Kama hiyo ndio nzuri sasa
NapigaNjegere umeweka kwenye pilau eee? Nami pia niliweka kidogo.
Pokea simu
Sipo hayo maeneo.Hahah vipi mpendwa
[emoji7][emoji91][emoji91]
nimeweka karoti ,kitunguu,Njegere na kidonge cha kuku...Bila kwio rafiki
Jr[emoji769]
Aaah! Upo mbeya?Sipo hayo maeneo.
Ningekuwepo huko hizo nyama zisingenipita wallah[emoji38]
Mpishi mkuu niwe Mimi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli eeh! Basi mimi nilijua bwaso hilo
Asante mpishi mkuu
NdiyoAaah! Upo mbeya?
Kubali hicho cheo wewe, kuna mwenzio anajiita profesa lakini kaishia la nne bMpishi mkuu niwe Mimi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
UghonileNdiyo
Sasa "ankali" hiyo umeshiba wewe mbeba vyuma?
Itabidi umpitie Saint AnneAise! Nialike siku moja nije kula maana
Hiyo ni kiamsha hamu [appetizer] tu 😁.Sasa "ankali" hiyo umeshiba wewe mbeba vyuma?
Hakika[emoji3526][emoji3526]Itabidi umpitie Saint Anne
Hata sijui nilitaka kuweka currypowder nikakuta ime expire..Hakina madhara ya baadae?
Jr[emoji769]
Hapo nimekuelewa [emoji12]Hiyo ni kiamsha hamu [appetizer] tu [emoji16].