Uzi wa vyakula tu

Mimi huwa sishibi kabisa sijui nina matatizo gani!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo unakuwa na mboga ingine???
Mimi ninaweza ongezea na parachichi pembeni Ila baada ya muda kidogo tu njaa inauma tena as if sikula kabisa.
 
Nikiwa na mboga nyingine nashiba ila mlenda pekee nakula hadi nachoka ila sishibi[emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…