dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Sio diet mzee hiyo ni breakfastiiHii dayati haiwezi kutibu upungufu wa nguvu......?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio diet mzee hiyo ni breakfastiiHii dayati haiwezi kutibu upungufu wa nguvu......?
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji30][emoji30][emoji18][emoji18][emoji18] View attachment 1472284
Ndiyo japo njaa inawahi kuumaMlenda wenyewe na ugali unashiba?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji30][emoji30]View attachment 1473243
Mimi huwa sishibi kabisa sijui nina matatizo gani!Ndiyo japo njaa inawahi kuuma
Inabidi Nile Mara kwa Mara.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi huwa sishibi kabisa sijui nina matatizo gani!
Karibu sana!Nice
AkhsanteKaribu sana!
Nikiwa na mboga nyingine nashiba ila mlenda pekee nakula hadi nachoka ila sishibi[emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo unakuwa na mboga ingine???
Mimi ninaweza ongezea na parachichi pembeni Ila baada ya muda kidogo tu njaa inauma tena as if sikula kabisa.
Aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikiwa na mboga nyingine nashiba ila mlenda pekee nakula hadi nachoka ila sishibi[emoji1]
Hmm leo umeamua kula kama ndio tiba ya covid?Akhsante
Karibuu na wewe ubwabwa wangu mbaya[emoji1787]
Kwa mpemba Gmboto au Tabata?Kwa mpembaView attachment 1473285
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hmm leo umeamua kula kama ndio tiba ya covid?
Kongole kwako![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu naona kitamu tu,nifanyeje sasa[emoji1787]
Hii ni kiepe yai mishikaki?