Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Memory[emoji3590]
IMG_20200601_180759_7.jpg
 
Mbeya asili yenu ni umbeya[emoji23]
Ila wewe una vinasaba vya WAHA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hakuna mwanamke asiyependa umbea.

Asili ya waha!??umenisingizia jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi si mbishi hata kidogo ila naongea ukweli.
 
Hizi mboga sita, [emoji39][emoji39][emoji39] au ya saba iko pembeni hapo?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Kwenye bakuli kubwa jeupe ni mchuzi na nyama angalia vizuri kamanda
 
Back
Top Bottom