Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaonekana ni mtu mmoja ambae huna stress za maisha[emoji106][emoji106] uko pazuri.
Toa yako ili nikwambie Kama unaweza kunifikia au hapana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mwanangu anapenda sana keki.Nitunzie kidogo[emoji39]
Wewe huwa unakula mkia?[emoji6]Kwanini umemkata mkia samaki?![emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Hivi unajua unaweza ukadhania au hisi wewe ni mbaya kumbe ni mremboo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hakuna mwanamke asiyependa umbea.
Asili ya waha!??umenisingizia jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi si mbishi hata kidogo ila naongea ukweli.
Kotekote ni karibu na kwa mpemba [emoji23][emoji23]Kipi kati ya hapo??
Jf tunaogopa kweli kweli[emoji23][emoji23]
HahahahaToa yako ili nikwambie Kama unaweza kunifikia au hapana.
Weka na peanut butter utanoga zaidi [emoji56][emoji56]I'm missing this moment [emoji3590]View attachment 1473308
Huu umenishinda mimi [emoji2817][emoji2817][emoji2817]I'm missing this moment [emoji3590]View attachment 1473308
Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mwanangu anapenda sana keki.
Ninapika kwa ajili yake.
Na leo imeshaisha [emoji56]
HAKI YA NANI [emoji38][emoji38]JF KIBOKOKotekote ni karibu na kwa mpemba [emoji23][emoji23]
Sijaelewa[emoji848]Hivi unajua unaweza ukadhania au hisi wewe ni mbaya kumbe ni mremboo
Ndio kinachokutokea sasa
Napenda sana, hivi umeshawahi kunywa chai ya maziwa iliyowekwa majani ya mhiliki(mti wa hiliki)?Na ikolee majani ya chai.
Unapenda eee? Nitakualika siku moja.
Hawa radha yake kama sanene??Hawa prawns huwa hawaniishi hamu, juzi tu nimewala [emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 1473320
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Sijawahi kujaribu eti.Weka na peanut butter utanoga zaidi [emoji56][emoji56]
Nimehesabu mabakuli pamoja na mboga za nje, zipo sita [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Kwenye bakuli kubwa jeupe ni mchuzi na nyama angalia vizuri kamanda
Unakosa uhondo weweHuu umenishinda mimi [emoji2817][emoji2817][emoji2817]
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Asiyejua maanaSijaelewa[emoji848]
Mbona hutoi sasa