Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23][emoji23][emoji23]Kongole kwako!
NdiyoHii ni kiepe yai mishikaki?
Si mbali na sehemu hizo.Kwa mpemba Gmboto au Tabata?
Kumbe unajua kiswahil kuna mmoja mwenzenu nilimuandikia hivo[emoji23][emoji23][emoji23]
Akhsante
Kipi kati ya hapo??Si mbali na sehemu hizo.
Jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe unajua kiswahil kuna mmoja mwenzenu nilimuandikia hivo
Akanijibu mwenyewe alidhania nina mtukana
Nakuambia sio nakuoneaJamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kutuonea basi.
Unatuonea watu wa mbeya wewe[emoji23]Nakuambia sio nakuonea
Kiti cha Moto[emoji7]
Hahahaha, ewaaa ,karibu ,nikuwekee ya kuchoma ,lost au kavu?Kiti cha Moto[emoji7]
Umeni halili vibayaUnatuonea watu wa mbeya wewe[emoji23]
Kwamba hilo neno hatulijui kweli!?!!
AnhaaaaUmeni halili vibaya
Nilimaanisha kuna jamaa mmoja humu jf ndio alijibu hivo
Roasted one[emoji7]
Hmm wewe nawe[emoji53]Anhaaaa
Nikajua ulivyosema "mwenzenu"umemaanisha mtu wa mbeya[emoji3526]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hmm wewe nawe[emoji53]
Mbeya mbeya mpaka keroo
Sio kila mtu anapitia pitia nyuzi na kuna wengine hata Melo hawamjui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa Huyo wa jf huwa hapitii hata nyuzi za Mello watu wanampa kongole kila siku[emoji1787][emoji1787]
Nimeshaiacha mbeya Sasa[emoji3526]
Kuna mtu hamjui Melo?[emoji44]Sio kila mtu anapitia pitia nyuzi na kuna wengine hata Melo hawamjui
Kuna memba mmoja toka 2015 hadi leo kachangia nyuzi mbili tu uone sasa