Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Nini hikiI'm missing this moment [emoji3590]View attachment 1473308
Mlenda
Kuna mtu hamjui Melo?[emoji44]
Nyuzi 2???? lazima ana I'd ingine.
Nasubiri [emoji3526]
LolSio kila mtu anafuatilia mwingine kajijunga jf hata hajui kama kuna uongozi Mods, au Melo tunatofatina
Sijui kama ana id nyingine, anadai anapenda kusoma tu,
Hawa prawns huwa hawaniishi hamu, juzi tu nimewala [emoji39][emoji39][emoji39]
Kwanini umemkata mkia samaki?![emoji38][emoji38][emoji38][emoji847][emoji847][emoji847] View attachment 1471191
Nimetoa ni Jaribu mpakani njia ya kuelekea Rufiji kuna sehemu ukifika tu hapo jaribu mpaka hiyo cafe si mbali
Tena hiyo chai iwe ya maziwa yenye hiliki na mdalasini kwa mbali [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Mbeya asili yenu ni umbeya[emoji23]Lol
Kusoma bila kucomment!??
Impossiblee[emoji3526]
Hizi mboga sita, [emoji39][emoji39][emoji39] au ya saba iko pembeni hapo?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]#Mboga7[emoji2]View attachment 1472126
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hakuna mwanamke asiyependa umbea.Mbeya asili yenu ni umbeya[emoji23]
Ila wewe una vinasaba vya WAHA
Ndiyo
Na ikolee majani ya chai.Tena hiyo chai iwe ya maziwa yenye hiliki na mdalasini kwa mbali [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Kwenye bakuli kubwa jeupe ni mchuzi na nyama angalia vizuri kamandaHizi mboga sita, [emoji39][emoji39][emoji39] au ya saba iko pembeni hapo?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]