dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Tatizo ndio limeanzia hapaNimehesabu mabakuli pamoja na mboga za nje, zipo sita [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
[emoji17]Asiyejua maana
Usimwambie maana
Baadae!!
Samaki bana unatakiwa ule kuanzia kichwani hadi mkiai, then uondoe mwiba uendelee na upande wa pili [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Wewe huwa unakula mkia?[emoji6]
Heee
Mlenda pori ndo ule wa hina? Sasa karanga za kutwanga utatoa wapi? Katia mlenda nyanya moja weka na peanut butter utanishukuru.Sijawahi kujaribu eti.
Ila nimewahi kula mlenda pori uliotiwa karanga za kutwangwa.
Kuna jirani yetu kwa wazazi mpare kwao kuna muhiliki so huwa analetaga hiriki mbichi na majani yake.Napenda sana, hivi umeshawahi kunywa chai ya maziwa iliyowekwa majani ya mhiliki(mti wa hiliki)?
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
NitamuambiaHAKI YA NANI [emoji38][emoji38]JF KIBOKO
IMENILAZIMU NIANDIKE KWA HERUFI KUBWA.
Msalimie mpemba mwambie mtumishi anakupa hi!
Iko siku nitajaribu ila itanibidi nikae na kisu kwa ajili ya kukata mlenda! [emoji38][emoji38][emoji38]Unakosa uhondo wewe
Karanga zipo mimi mkulima[emoji3526]Mlenda pori ndo ule wa hina? Sasa karanga za kutwanga utatoa wapi? Katia mlenda nyanya moja weka na peanut butter utanishukuru.
Mie mlenda napenda kuula kama hivo umepika nije niule niukombe ila si kupika na sijawahi kupika maisha yote.
Aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Iko siku nitajaribu ila itanibidi nikae na kisu kwa ajili ya kukata mlenda! [emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe unakaranga.Karanga zipo mimi mkulima[emoji3526]
Sema sipo nyumbani kwa Sasa,nikirudi nitajaribu.
Kuna aina nyingi nyingi tu za mlenda pori..mie naujua kwa majina ya kikabila.
Huwa natwanga na kinu ili zisagike vizuri.Kumbe unakaranga.
Basi unazisaga kwenye ile blender ya vitu vikavu unaweka.
Mlenda ule wa kama hina unapatikana kwa wingi Dodoma mzuri sana hasa ukiwa na mchuzi wa nyama na ugali na maziwa mtindi.
Madam huoni shida kutwanga kwenye kinu.Huwa natwanga na kinu ili zisagike vizuri.
Tumezoea kuweka karanga kwenye mboga nyingi za majani sijui kwanini sijawahi jaribu kuweka Kwenye mlenda.
Kumbe Dodoma upo eeh??
Ngoja nitafute mwenyeji Dom niende kupika[emoji1]
Hapana.Madam huoni shida kutwanga kwenye kinu.
Basi twanga nyingi unitumie kwenye busHapana.
Nilishazoea
Sipo nyumbani kwa Sasa[emoji134]Basi twanga nyingi unitumie kwenye bus