Uzi wa vyakula tu

Yeah ni sahihi mkuu.. sema labda preference ndo inapewa kipaumbele kwa mtu anaependa kula pamoja na matunda.. na mwingine ana prefer kula matunda pekeake.. lkn nilishawahi kusikia wataalamu wakisema unaanza kula matunda kwanza unakaa kidogo kama nusu saa then ndo unakula chakula.. sasa sijajua hapo which is the very best option among those two
Me naomba kuuliza wakuu ila mtanisaidia kama nakosea. Hv ni sahihi kula chakula pamoja na matunda wakati huo huo?
 
Kwahyo hapo tuichukue principle ipi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…