Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,512
- 23,925
Dah ngoja nisogee sehemu ,nikiagize ,umenitia hamu
Sawa sawa [emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah ngoja nisogee sehemu ,nikiagize ,umenitia hamu
ka Ndizi kadogo, na hiyo chakulahapana
kwanini umeuliza hivyo?
ka Ndizi kadogo, na hiyo chakula
Siwezi kula hao viumbe!Hawa prawns huwa hawaniishi hamu, juzi tu nimewala [emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 1473320
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Kinatamanisha hiki.Mdudu
Chakula gani hiki ngabu?
ChipsiChakula gani hiki ngabu?
Zimekatwa kidizaini sijazielewa kabisa.Chipsi
Halafu hii ni ya kula kwa mkono, sio kwa kijiko wala uma
Alhamdullilah....!Mdudu
Duuh! Sawajamen ndizi nne hivyo. Na chakula kingii natakiwa punguza zaidi Nile kidogo
Me naomba kuuliza wakuu ila mtanisaidia kama nakosea. Hv ni sahihi kula chakula pamoja na matunda wakati huo huo?
Kwa upande wako unasemaje mkuuKila mmoja anasema lake kwenye hili
Kwahyo hapo tuichukue principle ipi mkuuYeah ni sahihi mkuu.. sema labda preference ndo inapewa kipaumbele kwa mtu anaependa kula pamoja na matunda.. na mwingine ana prefer kula matunda pekeake.. lkn nilishawahi kusikia wataalamu wakisema unaanza kula matunda kwanza unakaa kidogo kama nusu saa then ndo unakula chakula.. sasa sijajua hapo which is the very best option among those two
Sasa hapa mimi nitakula mboga tu.