Uzi wa vyakula tu

yap kama unafanya mazoezi sana kula ukiwa mvivu kama mim mmh tabuu

nitakurushia msosi nitakaokula leoo mchana ngoja nikajiandaee
Poa ila usisahau tu na kapepsi pemben nshushie taratiiibu kwa mujiiibu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] hayatabaki ngano tamu sana aisee
Ukisema ngano unanichanganya ujue mbona mimi naona makande au umeweka na unga ngano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…