Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Nakubal kila menu yako ina mboga za majan safi sana
yaan napenda sana mboga za majani sanaa sanaa isipokuwepo nakula tu basi tu bora nile mboga za majani kuliko nyama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubal kila menu yako ina mboga za majan safi sana
Mm hapaNani anakulaga kambale?
Haha haha haha, hii meal bhaana![emoji39][emoji39]nganoView attachment 1485049
Haya huyo hapo hangaika nayeMm hapa
Hapo lazima yatabaki mpaka kesho asubuhi ya kunywea chai sijui nani aligunduaga hii formula[emoji39][emoji39]nganoView attachment 1485049
Dah kitu cha beans na rice hatar sana hii menu!!!Haya huyo hapo hangaika nayeView attachment 1485062
[emoji39][emoji39]nyama tope tuHaya huyo hapo hangaika nayeView attachment 1485062
[emoji23][emoji23][emoji23] Umenchekesha sana!!!!
Poa ila usisahau tu na kapepsi pemben nshushie taratiiibu kwa mujiiibu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yap kama unafanya mazoezi sana kula ukiwa mvivu kama mim mmh tabuu
nitakurushia msosi nitakaokula leoo mchana ngoja nikajiandaee
Ukisema ngano unanichanganya ujue mbona mimi naona makande au umeweka na unga ngano?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] hayatabaki ngano tamu sana aisee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tope tope hasa likikolea nazi.[emoji39][emoji39]nyama tope tu
Poa ila usisahau tu na kapepsi pemben nshushie taratiiibu kwa mujiiibu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngano vipi? Si makande haya?[emoji39][emoji39]nganoView attachment 1485049
Watoto wa buza tunauita wali mchafu.Happy Sunday
View attachment 1485105[SUP]h[/SUP]
Poa ila usisahau tu na kapepsi pemben nshushie taratiiibu kwa mujiiibu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]