Uzi wa vyakula tu

Wataka umpikie nn leo?
 

wataka kupika nini

usisahau pichaa
 
Nipe list ya mahitaji mkuu

Vitunguu
Hoho
Karoti
Nyanya mbili au moja inategemea na wingi wa mchemsho ila kama kidogo weka nyanya moja tu
Mafuta
Nazi

Chemsha nyama iive iwe na supu yake tia ndizi zilizomenywa tayari kwenye nyama ongeza maji kiasi ,ikichemka kabisa tia hoho,karoti,vitunguu maji,nyanya moja au mbili iwe imesagwa au ya kukata kukata weka na chumvi kiasi
Kama una carypowder tia kidogo acha mpaka iive angalizo mchuzi usikaukie [emoji23]
Sinaga macomplicatiooon mie
 
Nimekupata mkuu subiria mrejesho hapa hapa. Nimescreenshort kabisa[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…