Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Dinazarde amu Ina nawengineo. leo nataka nimpumzishe wife niingie jikoni kukorofisha tatizo sijui pakuanzia yaan nataka mnipe material yote mpaka na jinzi ya kuyabadilisha kua bonge la msosi, nataka nikirudi home niwe na kila kitu nyumban nikatumie chumvi tu.

Karibuni na Mungu awabariki

Mshana Jr ningemuita lakini lile bakuli lake sijawai lielewa anaweza nipa material nikajikuta nampikia wife tunguri[emoji1787]
Wataka umpikie nn leo?
 
wataka kupika nini

usisahau pichaa
 
Attachments

  • FA9BD73B-A05C-48B7-B272-1F7A6E085CB0.jpeg
    FA9BD73B-A05C-48B7-B272-1F7A6E085CB0.jpeg
    258.7 KB · Views: 2
Nipe list ya mahitaji mkuu

Vitunguu
Hoho
Karoti
Nyanya mbili au moja inategemea na wingi wa mchemsho ila kama kidogo weka nyanya moja tu
Mafuta
Nazi

Chemsha nyama iive iwe na supu yake tia ndizi zilizomenywa tayari kwenye nyama ongeza maji kiasi ,ikichemka kabisa tia hoho,karoti,vitunguu maji,nyanya moja au mbili iwe imesagwa au ya kukata kukata weka na chumvi kiasi
Kama una carypowder tia kidogo acha mpaka iive angalizo mchuzi usikaukie [emoji23]
Sinaga macomplicatiooon mie
 
Nimekupata mkuu subiria mrejesho hapa hapa. Nimescreenshort kabisa[emoji1787]
 
Back
Top Bottom