Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,193
- 27,078
Wataka umpikie nn leo?Dinazarde amu Ina nawengineo. leo nataka nimpumzishe wife niingie jikoni kukorofisha tatizo sijui pakuanzia yaan nataka mnipe material yote mpaka na jinzi ya kuyabadilisha kua bonge la msosi, nataka nikirudi home niwe na kila kitu nyumban nikatumie chumvi tu.
Karibuni na Mungu awabariki
Mshana Jr ningemuita lakini lile bakuli lake sijawai lielewa anaweza nipa material nikajikuta nampikia wife tunguri[emoji1787]