Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

IMG_3431.JPG
 
Hizo ni chips za Udom i guess, jamani ni mbaya kuliko ubaya wenyewe tulikuwa tunalia shida tu enzi zetu. Chips kama zimechemshwa!
haahahahahah nilidhan macho yangu tu
Kwanin hawajui tengeneza chips mbona rahisi tu
Hahahaha, nilishindwa kuziponda kuheshimu watu humu ,ila ,mmmmmh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakula tu ili nishibe
Ni mbaya sana ila hakuna namna
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom