Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Chakula kilichopikiwa nazi ni kitamuu , iwe ndizi, wali, maharagwe, nyama etcsana maini ya mbuzi,maharage ya nazi,wali wa nazi ,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chakula kilichopikiwa nazi ni kitamuu , iwe ndizi, wali, maharagwe, nyama etcsana maini ya mbuzi,maharage ya nazi,wali wa nazi ,
We utakuwa mpare,Leo watu hamjala kabisa jaman
Nasubiri picha za vyakula
Maharage yanaonesha yalikua matam.Basi mi carrot zikisimama Ivo kwenye mboga ya majani nashindwaga kuzila maweka pembeni.View attachment 1503709
Leo camera imeniangusha
Sasa picha za wenzako wazitakia niniHapana
Maharage yanaonesha yalikua matam.Basi mi carrot zikisimama Ivo kwenye mboga ya majani nashindwaga kuzila maweka pembeni.
Mkoa gani huu, chakula kinashawishi mate mateleo nmeenda kwenye chimbo langu,nililokuwa nakulaga kipindi nipo diploma[emoji16][emoji16]nilimmisi mama fred, nimeona nimsalimie leo..View attachment 1505486
morogoro mkuu, mji wenye vyakula kedekede[emoji39]Mkoa gani huu, chakula kinashawishi mate mate
Dinazarde kama Dinazarde..[emoji39][emoji39][emoji39]
Dinazarde kama Dinazarde..[emoji39][emoji39][emoji39]
Hongera kwa kunitoa mate
Duh maisha ya chuo umekumbushia siomorogoro mkuu, mji wenye vyakula kedekede[emoji39]
[emoji16][emoji16]ndio mkuu.....Duh maisha ya chuo umekumbushia sio