Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,193
- 27,078
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Kule Kijijini kwetu vilikuwepo vitumbua Kama hiviVya kisambaa
Naona vimefugwa kwenye shwaghoVya kisambaa
iwe ni wabumbui hambu mlalo[emoji23]...cjui nimepatiaNaona vimefugwa kwenye shwagho
[emoji23][emoji23][emoji23]imi nwabumbui osie haja bumbui kayaiwe ni wabumbui hambu mlalo[emoji23]...cjui nimepatia
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]umepika kande la wiki nzima unakula mdogomdogo!!Nikiangalia huu uzi mpaka hasira siku ya 4 nagonga kande mfululizo! [emoji24]
Ok my dear ni rahisi
Weka unga wako kiasi ukitakacho tia hamira, chumvi,yai moja, na yougart vijiko kama vitatu kama unga mwingi utaongeza
Changanya vyote then koroga uji mzitoo, weka mafuta kidogo, halafu acha uumuke
Kwenye kuchota sasa kuna namna 2 ya kuchota ili litoke shape nzuri ya duara mana ukikosea utatoa vitu kama mijusi...hapa uchotaji wake nakushauri uungalie youtobe jinsi wanavyochota
Ukimaliza kupika unatengeneza shira yake ya ambayo ni sukari na iliki........unachemsha sukari na iliki ya unga hadi uone kama inanata ,,ikinata ndo tayari nyunyuzia juu ya kalimati.itakua ndo tayari
Enjoy.
Kama sijatoa shape za mijusi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] kutoa duara hivyo mpaka mkono uzoee Haya akiangalia youtube awe anapika tu mara kwa maraView attachment 1530965
Hizo nilipika kama wiki nyuma
Kama sijatoa shape za mijusi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila lazima nijaribu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mijusi kama naiyona[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila lazima nijaribu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yah [emoji4]Practice makes perfect
Ewaaaaaa...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikula nyara ya sirikali upili nikanogewa nikaifata hapo Ruvu.
Enzi hizo ujue sarawili celebration huku nna moka kiwi ya mwisho imepigwa mlandizi.
kufika gate we nani ,mi flani,unamtaka nani flani, nani yako mi mwambie mjomba.
Aah sjakaa sawa naona wana Rudi na marungu na mapanga nikalianzisha.
Basi huyoo huyoo njia ndefu ile kufika highway.
Niliwaacha kinywa wazi kuna mahali kulikua na kidimbwi hivi Nili dunk km Jackie Chan wakaniona upande wa pili naendelea na marathon wakabaki "tungekukamata"
Mi huyo nayeya.
Chai moto hiyo puliza kidoogo[emoji108]
Ni dizaini hiyohiyoKule Kijijini kwetu vilikuwepo vitumbua Kama hivi
Vikikandwa vinawekwa kwenye majani ya mgomba vinaviringishwa namna hiyo halafu vinapikwa kwenye chungu.
Wakati wa kula unatoa lile jani la mgomba..ni vitamu Sana.
Umenikumbusha mbali.
Sent using Jamii Forums mobile app