Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwambie anunue Kalmat maker 10,000-15,000Ok my dear ni rahisi
Weka unga wako kiasi ukitakacho tia hamira, chumvi,yai moja, na yougart vijiko kama vitatu kama unga mwingi utaongeza
Changanya vyote then koroga uji mzitoo, weka mafuta kidogo, halafu acha uumuke
Kwenye kuchota sasa kuna namna 2 ya kuchota ili litoke shape nzuri ya duara mana ukikosea utatoa vitu kama mijusi...hapa uchotaji wake nakushauri uungalie youtobe jinsi wanavyochota
Ukimaliza kupika unatengeneza shira yake ya ambayo ni sukari na iliki........unachemsha sukari na iliki ya unga hadi uone kama inanata ,,ikinata ndo tayari nyunyuzia juu ya kalimati.itakua ndo tayari
Enjoy.
Haha ni kweli mpaka mkono uzoee... me mara ya kwanza nilitoa mijusi mingi[emoji23][emoji23][emoji23] kutoa duara hivyo mpaka mkono uzoee Haya akiangalia youtube awe anapika tu mara kwa maraView attachment 1530965
Hizo nilipika kama wiki nyuma
Saint Anne umeskia dear..ni tamu hizoo afu rahis kupika utatumia kama bites upunguze chipsmwambie anunue Kalmat maker 10,000-15,000
Hatimaye weekend imeisha vizuriNimepiga Kande siku 4 mfululizo wacha nami leo tumbo lifurahia kitu kizuri!
Ndizi,mboga,roast,kiepe,ubwabwa[emoji39] kuna dem jirani ananisalimia salimia leo sana hakika tutakula msosi na nimle yeye pia Double Food Eh! Mola asante kwa kunibless leo msosi na pussy....View attachment 1532066
mwambie anunue Kalmat maker 10,000-15,000
[emoji4][emoji4][emoji120][emoji120][emoji120]Saint Anne umeskia dear..ni tamu hizoo afu rahis kupika utatumia kama bites upunguze chips
Ndio mkuu.Hatimaye weekend imeisha vizuri
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unakula kwanza ndio ule?Nimepiga Kande siku 4 mfululizo wacha nami leo tumbo lifurahia kitu kizuri!
Ndizi,mboga,roast,kiepe,ubwabwa[emoji39] kuna dem jirani ananisalimia salimia leo sana hakika tutakula msosi na nimle yeye pia Double Food Eh! Mola asante kwa kunibless leo msosi na pussy....View attachment 1532066
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Anaependa kisamvu akaribie....View attachment 1533271
Ndio kaka nlikuwa na double menu![emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unakula kwanza ndio ule?
Jr[emoji769]
Mimi hapaAnaependa kisamvu akaribie....View attachment 1533271
Njoo tule kiporo 😋🙂🙂Mimi hapa
Mwenye picha ya kiporo cha wali maharage au wali kisamvu amiwekee
Nimemiss kula viporo
Hii wali maharagwe na chai ya maziwa ni breakfast [emoji3046] nzuri,
Hata ya rangi yenye mchai mchai hunoga.Hii wali maharagwe na chai ya maziwa ni breakfast [emoji3046] nzuri,
Sent using Jamii Forums mobile app