binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
At least nimemuona kwioLengo lilikuwa kula ugali kabla ya saa kumi na moja,nyama ikachelewa kuja. Karibuni wandugu.
View attachment 1539270
Tumelimiss lile bakuli lako la msosi Mshana, umelipeleka wapi siku hizi?At least nimemuona kwio
Mambo yako hayo...😋
Watoto wa Uswazi wanaweza kukata ugali kwa vidagaa vitatu tu bora chachandu iwepoWale wenzangu wa uswazi tunaelewa nguvu ya hivyo vidagaaView attachment 1540021 vikiwa vya moto
Kabisa aise😅😅unarumagia🤪🤪Watoto wa Uswazi wanaweza kukata ugali kwa vidagaa vitatu tu bora chachandu iwepo
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
[emoji52][emoji52][emoji52][emoji52]Saint Anne umeskia dear..ni tamu hizoo afu rahis kupika utatumia kama bites upunguze chips
Sahv nakula vya mtaani,,badae ndo napikaaa
Utachopika usiku usinisahauSahv nakula vya mtaani,,badae ndo napikaaa
Karibu[emoji39]View attachment 1540090
Kwanini,utaonekana mwanaume wa dar?[emoji3][emoji3]Ahsantee.
Hii naogopa kula [emoji28][emoji28][emoji28]Utachopika usiku usinisahau
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini,utaonekana mwanaume wa dar?[emoji3][emoji3]
Imani tu best angu ..we kula kwa raha zakoNitakuwa mzembe bure wakati siku hizi kila mtu anapambana kupalilia shamba lake kweli kwelii ili asije akasaidiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
May be kwa jioni ila mchana hiyo kitu naiogopa aiseee[emoji23][emoji23][emoji23]Imani tu best angu ..we kula kwa raha zako
Mchana unakula bondo la nguvu jion unamalizia na viepe
Pouwa[emoji106]Ahsantee.
Hii naogopa kula [emoji28][emoji28][emoji28]Utachopika usiku usinisahau
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawatuwezi watoto wa kishuaWale wenzangu wa uswazi tunaelewa nguvu ya hivyo vidagaaView attachment 1540021 vikiwa vya moto
Chips kuku na vitambi, ni mapacha wawili wa mfananoSahv nakula vya mtaani,,badae ndo napikaaa
Karibu[emoji39]View attachment 1540090
Hili ni jina langu kamili mkuuYummy
wewe na yule msanii wa UG nani kamwiga mwenzake jina?