Haya daktari nimeelewa kwa mimi kibonge carbs ni mbaya kwangu sitakiwi kula in high amount najitahidi sana kufanya a healthy dietNgoja nikupe lecture mrembo,mwili unahitaji kiasi kidogo sana Cha chakula,chakula kingi hutuzwa mwilini kama mafuta,njaa inamaanisha tumbo lipo empty tu,kwahiyo nakushauri kula essential food kidogo(carbohydrates, protein na lipid) usile kujaza tumbo,then kunywa maji au matunda ili ujaze tumbo, inshort ni kwamba usijaze tumbo kwa chakula tu,
California love
Usisahau na mboga za majani,,,aaaah umekuwa bonge tena? Tangia lini?Haya daktari nimeelewa kwa mimi kibonge carbs ni mbaya kwangu sitakiwi kula in high amount najitahidi sana kufanya a healthy diet
Mimi ni bonge siku zote , nitazingatia pia mboga za majani .Usisahau na mboga za majani,,,aaaah umekuwa bonge tena? Tangia lini?
California love
Hili somo la mpangilio wa chakula ni zuri sana, tungekua tunapata elimu juu ya balance diet yani kila mlo basi kuwe na starch kidogo, protein kidogo, fats kidogo, vitamins kidogo nk na chakula gani kinafaa usiku, mchana na asubuhi hakika watu wasingekua wanakula jimradi ale tu wangepata chakula bora na sio bora chakula, ingesaidia kupunguza magonjwa yasio na lazima, ingepunguza vitambi hebu saidia uwe unatoa darasa maana naona unafanya hivyoNgoja nikupe lecture mrembo,mwili unahitaji kiasi kidogo sana Cha chakula,chakula kingi hutuzwa mwilini kama mafuta,njaa inamaanisha tumbo lipo empty tu,kwahiyo nakushauri kula essential food kidogo(carbohydrates, protein na lipid) usile kujaza tumbo,then kunywa maji au matunda ili ujaze tumbo, inshort ni kwamba usijaze tumbo kwa chakula tu,
California love
Ni kweli kaka,Asante kwa nyongezaHili somo la mpangilio wa chakula ni zuri sana, tungekua tunapata elimu juu ya balance diet yani kila mlo basi kuwe na starch kidogo, protein kidogo, fats kidogo, vitamins kidogo nk na chakula gani kinafaa usiku, mchana na asubuhi hakika watu wasingekua wanakula jimradi ale tu wangepata chakula bora na sio bora chakula, ingesaidia kupunguza magonjwa yasio na lazima, ingepunguza vitambi hebu saidia uwe unatoa darasa maana naona unafanya hivyo
Aaaah wapi,upo vizuriMimi ni bonge siku zote , nitazingatia pia mboga za majani .
Nipo vizuri wapi wewe ungeniona hata kwa picha ungeelewa ninachozungumza .Aaaah wapi,upo vizuri
May be coz ni kitambo kidogoNipo vizuri wapi wewe ungeniona hata kwa picha ungeelewa ninachozungumza .
Haya imetosha tunaharibu content ya uziMay be coz ni kitambo kidogo
Wahuni sio watu wazuriTatizo vitu vitamu vyote wahuni wanavipa majina mabaya sometimes yenye ukakasi
Hii breakfast ilikua kavu kavu bila kachai [emoji23][emoji23], sema mimi napenda sana korosho aisehhView attachment 1548480
Breakfast
Vitu fulani hivi very essential kwa matumizi ya mwili
Hii breakfast ilikua kavu kavu bila kachai [emoji23][emoji23], sema mimi napenda sana korosho aisehh