Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,949
Haya daktari nimeelewa kwa mimi kibonge carbs ni mbaya kwangu sitakiwi kula in high amount najitahidi sana kufanya a healthy dietNgoja nikupe lecture mrembo,mwili unahitaji kiasi kidogo sana Cha chakula,chakula kingi hutuzwa mwilini kama mafuta,njaa inamaanisha tumbo lipo empty tu,kwahiyo nakushauri kula essential food kidogo(carbohydrates, protein na lipid) usile kujaza tumbo,then kunywa maji au matunda ili ujaze tumbo, inshort ni kwamba usijaze tumbo kwa chakula tu,
California love