@Simara Unataka ukonde kiasi gani rafiki
vipi unafanya mazoezi pia ?Nina kilo 80 nataka nifike 68
Unaongeza vitu muhimu sana mwilini ukila korosho, kula za kutosha nyingine nitumie na mimi[emoji23][emoji23]Nilikunywa na maji ya moto yenye limao na tangawizi.
Korosho tamu sana hasa ziwe na chumvi, hapa kila saa nazipiga jicho[emoji23][emoji23]
vipi unafanya mazoezi pia ?
Dah mimi nilikuwa na 110 sasa natafuta 90
Unaongeza vitu muhimu sana mwilini ukila korosho, kula za kutosha nyingine nitumie na mimi[emoji23][emoji23]
Naruka kamba tu
Hii ni supu, mchemshoView attachment 1549494
Breakfast na Lunch
2 in 1View attachment 1549494
Breakfast na Lunch
Hii ni supu, mchemsho
2 in 1
NkamuView attachment 1548480
Breakfast
Afadhali nimepata mwalimu wa Kinyakyusa. Naomba nije PM tafadhaliNkamu
Loli utwindu tunandi