Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Nilikunywa na maji ya moto yenye limao na tangawizi.

Korosho tamu sana hasa ziwe na chumvi, hapa kila saa nazipiga jicho[emoji23][emoji23]
Unaongeza vitu muhimu sana mwilini ukila korosho, kula za kutosha nyingine nitumie na mimi[emoji23][emoji23]
 
Dagaa ziko tayar full booked hadi usiku
IMG-20200824-WA0015.jpg
 
Back
Top Bottom