Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Ukiingia kwenye huu uzi utaamini bado tz kuambiwa tupo uchumi wa kati tumeonewa sana!
aisee[emoji16].... hata maji 2 sio mbaya...Ukiona hivyo ujue hatuna cha kupika[emoji3]
[emoji16][emoji16][emoji16]mkuu inaonkana ulikuwa waipenda kinomahiyo mishikaki ya kuku imenikumbusha Moshi kuna sehemu inaitwa Sinza/Masikio
zimefika mkuu[emoji1666]Mwambie mama yeye ni kiboko
[emoji16][emoji16][emoji16]mkuu inaonkana ulikuwa waipenda kinoma
Mwambie mama yeye ni fundi, namsalimia sanakwa mama..Cha mchanaView attachment 1550609
Bakisha kidogo
ucjal mkuu zitafika[emoji1666]Mwambie mama yeye ni fundi, namsalimia sana
[emoji134]Dah mimi nilikuwa na 110 sasa natafuta 90