Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Ukiingia kwenye huu uzi utaamini bado tz kuambiwa tupo uchumi wa kati tumeonewa sana!
hahahah,mi hua nikipita hapa nahisi njaa,wacha nikatafute ugali na samaki wa kukaanga niweke na ka chachandu