Uzi wa vyakula tu

Umejitahidi Mkuu kupunguza uzito kazi sana
Yani namshukuru Mungu kwangu kupungua ni kitu rahisi ,nlitoka maternity leave nikiwa na kg 73 (sijawai fikisha hizi kg)Ilikua Oct.mwaka jana sa hivi nina 59,nlivoacha tu mamitory na supu kila siku nikapungua.Yani mi nikila Sana nanenepa nikila nikijinyima napungua.Nawaza Tu nikila hivyo unavyokula eti korosho na maji ntakua miss.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah karibu kuwa na moyo. Juzi nimemchora dada mmoja tunaye humu ameniacha na wenge.
Kazi ngumu hii

hahaha[emoji28] hivi kumbe hizo mishe unafanya, mkuu mimi serious kabisa nitajifunza hiyo kazi,na kuna nyingine wanaita waxing ntakua nafanya just for fun bure kabisa.[emoji23]huyo Dada ungemlilia hata machozi ya damu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…