binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Kwa ratiba hii ya chakula na vyakula unavyokula nasadikika kusema utakuwa na ngozi nzuri laini isiyo na mafuta mafuta maana nimegundua vyakula vyako ni vya asili na vingi ni mchemsho visivyo na mafuta. Hongera sana.
Haaaa mkuu..... najitahidi tahidi si wajua tena tumefikia uchumi wa kati? π Mengine tutayaongea kule kwa waziri mkuu.
Btw, utuwekee chakula cha kibachelor hapa tufaidi wenzio.