Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Kwa ratiba hii ya chakula na vyakula unavyokula nasadikika kusema utakuwa na ngozi nzuri laini isiyo na mafuta mafuta maana nimegundua vyakula vyako ni vya asili na vingi ni mchemsho visivyo na mafuta. Hongera sana.

Haaaa mkuu..... najitahidi tahidi si wajua tena tumefikia uchumi wa kati? πŸ˜€ Mengine tutayaongea kule kwa waziri mkuu.

Btw, utuwekee chakula cha kibachelor hapa tufaidi wenzio.
 
Haaaa mkuu..... najitahidi tahidi si wajua tena tumefikia uchumi wa kati? πŸ˜€ Mengine tutayaongea kule kwa waziri mkuu.

Btw, utuwekee chakula cha kibachelor hapa tufaidi wenzio.
Muda mwingi huwa nakula restaurant maana kupika inachukua muda labda wikiendi moja nitajitahidi kukurushia huko kwa waziri mkuu 😊. Embu wacha zako uchumi wa kati wakati ukiwauliza watu 100 utakaokutana nao barabarani kama wana elfu kumi watasema hawana πŸ˜‚
 
π™·πšžπš˜ πšžπšπšŠπš•πš’ πšžπš—πšπšŽπš”πšžπš πšŠ 𝚠𝚊 πšπš˜πš—πšŠ πš’πš—πšπšŽπš”πšžπš πšŠ πš–πš πšŠπš”πšŽ πšŠπš’πšœπšŽπšŽ
Dona nilikosa
 
Ugali+nyama ya spices tamu balaa
IMG_20200903_130848.jpg
 
Back
Top Bottom