Uzi wa vyakula tu

Unene ni mateso yaani nikifikisha kilo ninazotaka sitoruhusu kunenepa.
 
Una bahati aisee
 
Haaaa mkuu! Ngoja nikipika tena ntakukaribisha ule then utaratibu mwingine utafuata! 😀🥰
Nitafurahi sana, vyakula vya namna hii huwa nakula nikiwatembelea marafiki zangu ambao wameoa. Yanipasa na mimi kufanya hivi na wewe ili wawe wanakuja kula chakula kitamu kama hiki kwangu.
 
Nitafurahi sana, vyakula vya namna hii huwa nakula nikiwatembelea marafiki zangu ambao wameoa. Yanipasa na mimi kufanya hivi na wewe ili wawe wanakuja kula chakula kitamu kama hiki kwangu.

Hahaha umetisha mkuu, usijali karibu cha jioni hapa
 
Attachments

  • 8AB25AED-B92D-4AC7-BD2A-A7079A0E75E4.jpeg
    171 KB · Views: 2
  • 6EA2F322-9602-4A51-9F4C-939E8DF3BF19.jpeg
    175.7 KB · Views: 2
Yes ni mboga mbona nimezichemsha, nikaweka kipande cha kuku na kipande cha gimbi. Nakula hivi ndio mwisho wa mlo wangu kwa leo.
Kwa ratiba hii ya chakula na vyakula unavyokula nasadikika kusema utakuwa na ngozi nzuri laini isiyo na mafuta mafuta maana nimegundua vyakula vyako ni vya asili na vingi ni mchemsho visivyo na mafuta. Hongera sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…