Uzi wa vyakula tu

Hakuna mahala nimesema ugali... focus on processed sugars. Constantly snack on biscuits, chocholate, karanga, korosho, ice cream
Lakini Ugali pia si ni wanga !???
Asante mkuu,nitajitahidi kufuata maelekezo yako.
Karanga zipi ni Nzuri Zaidi!?mbichi,za kuchemsha au za kukaanga?
 
Oh sawa
Akhsante mkuu kwa somo hili[emoji120]
 
Ndugu zanguni habarini za mchana ? Nimefanyiwa oparesheni ya kwenye utumbo wangu hivi napaswa kutumia vyakula gani maana na nina wiki ya pili sasa na kuna baadhi ya vyakula naogopa kuvitumia nikihisi vitaniletea madhara .

Karibu kwa mchango wenu.
Hospital hawakukupa maelekezo? Sina nijualo ila nahisi vilaini laini pia chunga usipate constipation
 
Samahani sana kwa kuwaingilia. Ila mngeenda PM ingependeza
Najua tumeweka si mahala pake
Kuna uzi wa picha na tumeshatoa ila kujadili kuhusu tips za chakula nadhani ni sehemu sahihi.
Kwa Kwa yeyote niliyemkwaza anisamehe
Tutaendelea kujadili pasi na kuweka picha..wengi wenye uhitaji wanaweza kunufaika na maelekezo yanayotolewa hapa kuliko tukaenda PM nikanufaika pekeyangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…